Habari za michezo

KUHUSU ILE ISHU YA MAYELE KUTAKIWA KAIZER CHIEF..YANGA WATOKA NA TAMKO HILI TENA…

admin March 29, 2022 6:17 am


UONGOZI wa Yanga umefunguka ishu ya mshambuliaji wao wa kati kipenzi cha mashabiki, Fiston Mayele kuhusishwa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Kumekuwa na tetesi nyingi za Kaizer kumtaka Mayele.

Yanga wametoa tamko rasmi kuwa mzee huyo wa kutetema hataondoka kutokana na kuwa na mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo.

Kuhusu Mayele kutakiwa na Kaizer Chiefs, Mhamasishaji wa Yanga, Haji Manara, amesema kuwa mchezaji huyo bado ana mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga huku akisisitiza kuwa hakuna timu hapa nchini ambayo itaweza kumsajili mchezaji huyo.

KIFAA CHA AS VITA CHAUKUBALI ‘MZIKI WA YANGA’….AMTAJA MAYELE …AFUNGUKA ISHU ILIVYO… FEI TOTO AONGEZA IDADI YA WAGONJWA KWENYE ‘WODI YA YANGA’…ATEMWA TAIFA STARS JUMLA JUMLA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply