Habari za michezo

KIPIGO CHA MADRID CHAMTIA KIWEWE TUCHEL….ADAI MCHEZO UMESHAISHA..AITOA CHELSEA…

admin April 9, 2022 2:06 am


TUMESHATOLEWA. Ndivyo alivyosema Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel, baada ya kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Real Madrid kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi Jumatano nyumbani Stamford Bridge.

Mabao matatu ‘hat trick’ ya Karim Benzema yameipa Real Madrid faida kuelekea mchezo wa marudiano Jumanne ijayo jijini Madrid.

Na Tuchel alipoulizwa kama gemu bado ipo, alijibu: “Hapana, mchezo umeshaisha.

“Tunatakiwa kukitafuta kiwango chetu kwa sababu tangu mapumziko ya kimataifa (tumepotea). Naogopa zaidi mechi ya Southampton wikiendi hii.”

Aliongeza: “Huwezi kutarajia matokeo kwa kiwango cha namna hii. Tunahitaji mabao matatu na mara ngapi hili limetokea? Tuwe wakweli.”

BAADA YA KUWAONA SIMBA WANAVYOKIWASHA..MABOSI ORLANDO WAGUNA MHHH…KISHA WAKAMTAJA SAKHO… MASKINI YA MUNGU PRINCE DUBE JAMANI…LIMEBAKI JINA NA HISTORIA TU…USIOMBE IKUKUTE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply