Habari za michezo

BAADA YA ‘KUMVUTISHA PUNZI YA JOTO’ MSAUZI JANA….UONGOZI SIMBA WATOA NENO HILI KWA MASHABIKI…

admin April 18, 2022 2:13 pm


Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umetoa shukurani kwa Mashabiki na Wanachama wake, kufuatia kuitikia wito wa kufika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuishangilia timu yao ilipokua ikicheza dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

Jana Jumapili (April 17) Simba SC ilikua mwenyeji wa Orlando Pirates katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikianza kampeni za kusaka tiketi ya kucheza Nusu Fainali Kombe la Shirikisho kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali.

Shukran za Simba SC kwa Wanachama na Mashabiki zimetolewa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Ahmed Ally kwa kuandika ujumbe mzito katika ukurasa wake wa Instagram.

Ahmed aandika: TUMEWAITA MKAITIKAAA

Ninyi ni watu bora sana

MENEJA WA MWAMNYETO AFUNGUKA NAMNA SIMBA WANAVYOMSUMBUA…AGUSIA DILI LA UGIRIKI… KISA USHINDI WA JANA…MANARA AIPONGEZA NA KUINANGA SIMBA…”KULA NYAMA YA MTU KUNANOGA…”…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply