Habari za michezo

KISA MECHI YA JANA….MORRISON AMTIA NGUMI ZA USO SHABIKI WA YANGA….AFIKISHWA POLISI CHAP…

admin May 1, 2022 1:50 pm


Muda mfupi baada ya kumalizika mchezo wa Yanga dhidi ya Simba mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison amefikishwa kituo cha Polisi kwa madai ya kumshambulia mtu.

Taarifa zinaeleza kwamba tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya mchezo wa ‘Kariakoo Derb’.

 Morrison amehojiwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe  kutokana na shambulio hilo dhidi ya shabiki wa Yanga.

Mmoja wa maofisa wa Polisi ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema shabiki huyo inadaiwa alimdhihaki Morrison kwa kumuita mwizi wa gari ndipo baadhi ya mashabiki wa Simba na mchezaji huyo raia wa Ghana kumshambulia kisha kumwacha na majeraha mwilini.

Tukio hilo limetokea wakati mshambuliaji huyo akitaka kuondoka uwanjani baada ya mchezo huo ambao umemalizika kwa suluhu.

BAADA YA MAYELE KUSHINDWA KUFUNGA JANA…MSEMAJI WA AZAM KAIBUKA NA HILI….ADAI NI WAKAWAIDA… HATMA YA KAPOMBE, INONGA NA ONYANGO MIKONONI MWA MWASHABIKI WA SIMBA…WAPEWA RUNGU..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply