Habari za michezo

‘MTAMBO WA KUFUNGA MAGOLI’ ULIOTIKISA AFCON MBIONI KUTUA YANGA…AGANA NA TIMU YAKE YA SAUZI…

admin May 9, 2022 7:24 am


KIUNGO mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Gabadinho Mhango ameweka wazi kuwa anatarajia kuondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu ambapo hiyo ni habari nzuri kwa Yanga ambao wamekuwa wakimuwinda kwa nguvu.

Winga huyo ambaye alimtungua kipa wa Simba, Aishi Manula kwa penalti kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika amekuwa akifatiliwa kwa ukaribu na Yanga ambao tayari wameshaanza harakati za kufanya usajili kwa ajili ya msimu ujao wakiwa wanataka kufanya vizuri kwenye mechi za kimataifa.

Akizungumza, Gabadinho ambaye ni raia wa Malawi amesema kuwa, msimu utakapomalizika hatakuwa na uhakika wa kusalia Orlando huku akiwa na uhakika wa kuwa katika timu mpya.

SIMBA MMESIKIA HUKOOO…YANGA YA GSM YAWEKA MEZANI 250Mil KWA AJILI YA ADEBAYOR…IMEKULA KWENU… KISA SARE MICHEZO MIWILI ILIYOPITA…NABI AFURA KWA ASIRA YANGA…ATOA MKWARA HUU KWA WACHEZAJI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply