Habari za michezo

BAADA YA KUPANDA LIGI KUU KWA MSIMU UJAO…DTB FC WABADILI JINA ….MCHAKATO MZIMA UKO HIVI…

admin May 30, 2022 2:58 pm


Klabu ya DTB FC itakayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23, inahusishwa na mpango wa kubadilishwa jina, baada ya kutumia jina lake halisi ilipokua ikishiriki madaraja ya chini.

DTB FC ambayo ilitangulia kujihakikishia kupanda Ligi Kuu ikitokea Ligi Daraja la Kwanza na baadae kuungana na Ihefu FC, pia inatajwa huenda ikahamishia maskani yake Mjini Singida ikitokea Dar es salaam.

Mapema leo Jumatatu picha za bango la klabu Singida Big Stars zilisambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, na kutolewa maelezo yabayoihusisha DTB FC.

Hata hivyo hadi sasa Uongozi wa klabu ya DTB ambauo inatajwa kuwa mbioni kubadili jina haujasema lolote kuhusu uvumi huo.

KIMEUMANA SIMBA….RAGE AMSHUKIA MO DEWJI JUMLA JUMLA…ATAKA BARBRA NA WENZAKE WATIMULIWE… KUELEKEA MECHI ZA KUFUZU ‘AFCON 2023’…TAIFA STARS HAWATAKI MZAHA AISEE…WAAMUA KUTUMIA MBINU ZA SIMBA….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply