Habari za michezo

LILE DILI LA AZIZ KI KUTUA YANGA …MPANGO MZIMA UKO HIVI….MANARA AANIKA MCHONGO WOTE ULIVYO…

admin June 2, 2022 7:56 am


IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa msimu ujao wa 2022/23.

Nyota huyo alikuwa anapigiwa hesabu pia na Simba ambayo kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola baada ya Pablo Franco kuchimbishwa ndani ya kikosi hicho.

Ni Yacouba Songne huyu raia wa Burkina Faso, anatajwa kuweza kuwa sababu ya kiungo huyo kuweza kutua ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

“Yacouba ni sababu ya kiungo huyo kuweza kuja Yanga hivyo muda huu wapo kwenye mazungumzo na Aziz ili aweze kuja kucheza ndani ya timu hiyo,” ilieleza taarifa hiyo.

Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga hivi karibuni alisema kuwa watafanya usajili makini kwa ajili ya msimu ujao.

SIKU CHACHE BAADA YA KUACHWA..MORRISON AIGOMEA SIMBA…MAPYA ZAIDI YAFICHUKA ISHU YA KUFUKUZWA IMEFICHUKA…KUMBE PABLO HAKUTAKA CHAMA ASAJILIWE SIMBA….’KIBOSILE ALIMSAJILI KINGUVU KWA MAHABA YAKE.’..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply