Habari za michezo

KISHINDO CHA UBINGWA WA YANGA CHATUA FIFA…WATUMIWA SALAMU ZA USHINDI…JANGWANI NI FULL KUJIIIONA YANI…

admin June 28, 2022 2:41 am


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA, Gianni Infantino, ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kunyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022.

Katika Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira nchini TFF, imesema kuwa Infantino amesifu juhudi na umoja uliooneshwa na Klabu ya Yanga.

Yanga wamebeba Ubingwa baada ya kupita miaka minne, na siku ya Juni 26 walifanya mapokezi yaliyowashangaza wapenda Soka katika maeneo mbali mbali duniani.

Soma kwa kirefu taarifa ya TFF;


KISA SIMBA KUCHEZEA KICHAPO JUZI…AHMED ALLY AIBUKA NA HILI JIPYA TENA KWA MASHABIKI… KUHUSU UBINGWA WA YANGA MSIMU HUU…BARBARA AIBUKA NA KUTOA KAULI HII MOJA TU…AMTAMBUA NABI….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply