Habari za michezo

RASMI… MANARA AUFYATA KWA KARIA…. AFUNGUKA A-Z JINSI ILIVYOKUWA… ADAI YUKO TAYARI KWA ADHABU YOYOTE ILE…

admin July 5, 2022 11:30 am


Msemaji wa Yanga Haji Manara ameufya kwa kuamua kujishusha baada ya kumuomba radhi Rais wa TFF Wallace Karia kuhusu jambo ambalo lilitokea Jijini Arusha wakati wa fainali la Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup ASFC.


“Hata kama ni yeye ndiye alinianza lakini naomba msamaha kwa namna yoyote ile nilikosea kujibizana na Rais Wallace Karia naomba radhi, haimaanishi mini nisichukuliwe hatua.

Kama itaonekana nastahili kuchukuliwa hatua nipo tayari kupokea adhabu hiyo, lakini lazima niombe msamaha bila kujali kamati itaamua nini.

Kingine sina matatizo na Karia, ni Mzee wangu na namheshimu, na nimekuwa mstari wa mbele mara kadhaa kutetea hoja zake”.

KISA KUKATALIWA OMBI LAKE LA KUUZWA….RONALDO AGOMEA MAZOEZI MAN UTD….MABOSI ZAKE ‘WAMDINDIA KISELA’… BAADA YA LIGI KUISHA….MATOLA AVUNJA UKIMYA JUU YA ALICHOKIONA SIMBA…ATOA WIKI MOJA YA KILA KITU KIWE WAZI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply