Habari za michezo

RASMI….MAN UNITED WAMUACHA CRISTIANO RONALDO…SABABU KUU NI HII HAPA…

admin July 8, 2022 12:51 pm


Staa wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo hatoongozana na timu yake leo Ijumaa kuelekea Thailand baada ya kuongezewa likizo kutokana na “masuala ya kifamilia”.

Manchester United leo Julai 8, 2022 wataanza ziara yao rasmi ya kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa 2022/23.

Ronaldo bado hajahudhuria mazoezi yoyote chini ya Erik ten Hag ambayo yalianza wiki iliyopita.

Mkongwe huyo alitarajiwa kuonekana wiki hii lakini aliomba likizo ya ziada. Bado haijajulikana likizo hiyo itakuwa ndefu kiasi gani.

BAADA YA KUMALIZANA NA SIMBA…KAPAMA AWAPIGA ‘MKWARA WA KWENDA’ MASTAA WENZAKE MSIMBAZI… PAMOJA NA KUONEKANA NA BARBARA…MANULA AIKANA SIMBA SC….ADAI HAJASAINI MKATABA MPYA NA HANA MKATABA NAO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply