Habari za michezo

HUYU HAPA NDIYE ALIYEMRITHI MWAKALEBELA YANGA…ASHINDA KWA KISHINDO…WAJUMBE WAPYA MAJINA YAO…

admin July 10, 2022 2:19 am


Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Yanga SC Malangwe Mchungahela ametangaza Arafat Haji kuwa ndio mshindi wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Yanga kwa kura 545 dhidi ya Suma Mwaitenda aliyepata kura 234.

Kwa mujibu wa kura zilizopigwa nafasi ya wajumbe watano wa kamati ya Utendaji walioshinda ni Yanga Makaga, Seif Gulamali, Rogers Gumbo, Munir Seleman na Alexander Ngai.

Wajumbe na makamu wa Rais sasa wanaenda kuungana na Rais wa club Injinia Hersi ambaye mapema alipitishwa bila kupingwa kuwa Rais wa club hadi 2030.

CHUMA HIKI HAPA…KIUNGO WA NEWCASTLE ATAMBULISHWA YANGA..MWINGINE WA LA LIGA KUTUA…HERSI AANZA NA MAMBO 6… BAADA YA OKWI KUTIKISA SANA MSIMBAZI….SASA NI ZAMU YA OKWA…ATUMIWA MKATABA FASTA…KOCHA MPYA ATAKA BEKI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply