Habari za michezo

NI ABDI BANDA TENA…BAADA YA KUPATA TIMU MPYA SAUZI…AIBUKA NA HILI KWA WATANZANIA..

admin July 17, 2022 6:22 am


Mtanzania Abdi Banda amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea timu ya Chippas United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.

Kabla ya kujiunga na Chippas, Banda aliwahi kukipiga katika Klabu ya Baroka pamoja na Highland Park.

“Nimesaini miaka miwili. Nafurahi nimerudi, naomba Watanzania wote waniunge mkono na kunipa sapoti sababu sio kazi nyepesi.

“Kikubwa watusapoti na sisi wazawa. Wategemee ujio mwingine na kuona tofauti kubwa,” Abdi Banda kwa njia simu.

GEITA GOLD NAO WAONYESHA UMWAMBA WA FEDHA KWENYE USAJILI…WAIBOMOA YANGA KILAZIMA… SIKU CHACHE BAADA YA KUANZA KULAMBISHWA ASALI ZA SIMBA…AKPAN AWATOLEA MANENO YA ‘SHOMBO’ YANGA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply