Habari za michezo

KUHUSU MVUA YA MATAJI YANGA MSIMU UJAO…SENZO AENDELEA ‘KUWABAGAZA’ SIMBA KWA MANENO…

admin July 27, 2022 12:00 pm


Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ambayo watakwenda nayo msimu ujao ni kukusanya mataji yote matatu iliyotwaa kwa msimu wa 2021/22.

Mataji hayo ni Ngao ya Jamii,Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho ambayo waliyatwaa msimu uliopita yote yalikuwa mikononi mwa Simba hivyo wanakazi ya kuweza kuyatetea kwa mara nyingine tena.

Kaimu Mtendaji wa Simba,Senzo Mbatha amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa ambapo kila timu inahitaji kupata matokeo chanya.

“Tunajua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa hasa katika kutetea mataji yetu na tutaanza na Ngao ya Jamii dhidi ya Simba hapo tuna kazi ya kufanya lakini tupo tayari na tunahitaji taji hilo.

“Kila mmoja anajua kwamba haikuwa kazi rahisi kuweza kutwaa haya mataji lakini ni furaha kwa kila mmoja hasa baada ya kukamilisha msimu tukiwa na mafanikio haya,”

‘MAVITUZI’ YA OUATTARA YAMTIA WAZIMU ZORAN…AFUNGUKA NAMNA ATAKAVYOMTUMIA KIMKAKATI KUMALIZA ‘KAZI CHAFU’… YANGA NA SportsPesa KIMEELEWEKA…WASAINI MKATABA MNONO KUZIDI WA SIMBA NA MBET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply