Habari za michezo

KUTOKA KAMBI YA YANGA….NABI AWAONYESHA UTEMI MASTAA WAPYA YANGA….AWAKIMBIZA KAMA ‘WATOTO’ MCHANA KWEUPEE..

admin July 27, 2022 2:34 am


Yanga kuna kazi ya kibabe inaendelea pale kambini kwao Avic, Kigamboni na huko hakuna kucheka ni dozi kali wachezaji wakijifua chini ya makocha wao, lakini sasa kuna mabadiliko ya dozi hiyo.

Katika kambi hiyo ya mazoezi ambayo ilianza juzi, timu hiyo imetumia siku mbili kufungua mapafu wakikimbia huku wakichezea mpira kidogo.

Ratiba hiyo ilianzia juzi jioni huku mastaa wapya watano Stephane Azizi Ki, Joyce Lomalisa, Gael Bigirimana na Lazarous Kambole wakiwamo na dozi ya mbio iliendelea na juzi asubuhi.

Hata hivyo, kocha mkuu Nasreddine Nabi na msaidizi wake Cedric Kaze ambao wanafanya kazi hiyo na kocha wa mazoezi ya viungo Helmy Gueldich jana walibadilisha ratiba wakiongeza dozi zaidi.

SAKATA LA KUFUNGIWA NA TFF….MANARA AFUNGUKA MAPYA…ADAI HATAKI HURUMA YA MTU…YUPO TAYARI KUFUNGWA MIAKA 10… ISHU YA METACHA KUJIUNGA SINGIDA BIG STARS YAFUNGULIWA KESI TFF…POLISI TZ WASIMAMIA ‘UKUCHA’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply