Burudani

SAKATA LA MANARA NA TFF…TUNDAMAN ACHOCHEA KUNI JIKONI…AIBUKA NA HILI JIPYA…”AFUNGWE TU ..AMEZIDI SANA”…

admin July 27, 2022 8:00 am


Tundaman ameibuka na kutoa maoni yake kuwa, suala la aliyekuwa msemaji wa Simba Haji Mnara kufungiwa kwake anaona ni sawa kabisa.

Tunda ambaye ni shabiki wa Simba kindakindaki, amesema Manara afungiwe maana amezidi kuwa mzungumzaji sana.

“Afungiwe tu amezidi kuongea sana,” alisema Tundaman.

Msanii huyo amesema wao kama Simba, hawajaumia Manara kuondoka kwenye timu yao kwani yeye hakuwa mchezaji kwamba atafunga au kupiga krosi.

KUELEKEA MSIMU UJAO…VITA VYA MATAJIRI SOKA LA BONGO KUTAWALA…MWENYE NGUVU ZAIDI NDIYE BINGWA… MSIMU MPYA WA EPL NI LIVERPOOL vs MAN CITY…..UTAMU KOLEA WOTE HUU NI NDANI YA DStv  PEKEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply