EXPANSE VIP TOURNAMENT NA NAFASI YAKO YA KUSHINDA TZS 10,000,000
Meridianbet wamezindua promosheni ya kusisimua ya kasino ya mtandaoni ya Expanse VIP Tournament, ambapo kila siku wachezaji wana nafasi ya kuwa matajiri. Shindano hili linawapa wapenzi wa kasino fursa ya kujishindia zawadi ya kuvutia kwenye fungu la pesa taslimu TZS 1,000,000
Ushiriki ni mwepesi sana. Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Cheza michezo yoyote ya kasino ya mtandaoni kati ya 10 iliyochaguliwa kutoka Expanse Studio kwa dau la angalau TZS 2,000. Moja kwa moja utaingia kwenye shindano na kuwa na nafasi ya kushinda zawadi kubwa.
Shindano hili linahusisha michezo maalum ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse Studio, ambayo ni pamoja na Wild White Whale, Zombie Apocalypse, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Pia Premium, 100 Super Icy, Meridian Icy Fruits na Candy’s Bonanza. Cheza mojawapo ya michezo hii ili upate nafasi ya kupanda kwenye jedwali la washindani.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba na nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10#.
Zawadi za Shindano ili zitagawanywa kwa wachezaji 20 waliovuka nafasi za juu kwenye jedwali la washindani. Mgawanyiko wa zawadi ni kama ifuatavyo:
Kwa kuzingatia namna msimamo utakavyokua siku ya mwisho, basi zawadi zitatolewa kwa jumla ya watu 20 walioshika nafasi za juu kwenye jedwali la washindani, na mgawanyiko wa zawadi hizo kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho itakua kama ifuatavyo;
- Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZSTaslimu
- Nafasi ya Pili: 1,800,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya Tatu: 1,000,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya 4 na 5: 850,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya 6 hadi 10: 300,000 TZS Taslimu
Na kuanzia nafasi ya 11 mpaka 20 watajishindia 150,000 TZS Taslimu
Shindano hili limeundwa kwa wachezaji waliojisajili kwenye tovuti au APP ya meridianbet, huku kila mchezo unaocheza ukikuweka karibu zaidi na ushindi. Usikose nafasi hii ya kuandika historia yako ya ushindi na Meridianbet. Jisajili sasa, cheza michezo ya Expanse, na uwe mmoja wa washindi watakaotawala jedwali la promosheni hii ya kipekee.