Habari za michezo

KUELEKEA SIMBA DAY YA MWAKA HUU…MKUDE KUENDELEA KUWEKA REKODI HII YA KIPEKEE NCHINI…

admin July 29, 2022 2:16 am


Kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amesema anafurahi kuendelea kuweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeshiriki matamasha mengi ya Simba Day ndani ya timu hiyo.

Mkude amefunguka hayo kuelekea siku ya Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 8 mwaka huu.

Kupitia mtandao wa kijamii Instagram ameandika kuwa ‘Agosti 8 tunaadhimisha Simba Day ya 14 kwangu mimi binafsi ni ya 12,”

“Ni heshima kwangu kuwa sehemu ya tamasha hilo kubwa la soka kwa miaka yote hiyo, tukutane kwa Mkapa kuadhimisha siku yetu wanasimba,” aliandika Mkude.

ZORANI ASHTUKIA JAMBO SIMBA….AOMBA STRAIKA MPYA HARAKA…OKWA ATUA MISRI…MZIKI WA MASTAA YANGA SIO POA… SIKU KADHAA TOKA AJIUNGE NA SINGIDA BIG STARS…NDEMLA AIBUKA NA HAYA MAPYA…AGUSIA ISHU YA USAJILI ….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply