Habari za michezo

KUELEKEA MECHI DHIDI YA YANGA…BARBARA ATAMBA KUMALIZA KAZI MAPEMA…ATOA KAULI HII YA KIBABE…

admin August 11, 2022 6:00 pm


Baada ya mechi dhidi ya St George ya Ethiopia katika Simba Day Jumatatu, Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez alifurahishwa na umati uliojitokeza kukiona kikosi huku akiwaambia anadhani wameona usajili wao.

“Asanteni kwa kuitikia wito kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha kubwa. Wachezaji mmewaona nawaomba mje kwa wingi Jumamosi kuona soka la ushindani, tumefanya usajili bora,” alisema.

“Matokeo tuliyoyapata yanaongeza chachu ya ushindani hadi kufikia Jumamosi tunatarajia mambo mazuri zaidi.”

KUELEKEA MECHI YA JUMAMOSI DHIDI YA YANGA….CHAMA NA OKWA WAVIMBISHA KIFUA ZORAN MAKI… YANGA vs SIMBA KESHO….NYIE HAMUOGOPI…? MABOSI WAPIGANA MIKWARA HUKO…OKWA NA MAYELE WATAMBA KUUWASHA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply