Habari za michezo

VITENDO VYA RONALDO BAADA YA MAN UTD KUFUNGWA 4-0 KUMFUKUZISHA OLD TRAFORD…AC MILAN WAJIANDAA KUMCHUKUA…

admin August 15, 2022 11:45 am


Manchester United inatazama uwezekano wa kusitisha mkataba wa Cristiano Ronaldo ikiwa hatobadili tabia yake.

United wanadaiwa kuwa na wasiwasi kuhusu tabia ya Ronaldo na wanaweza kufikiria kusitisha mkataba wake kabla ya kumaliza.

Ronaldo (37) alitoka nje ya uwanja baada ya United kuchapwa 4-0 na Brentford bila kumpa mkono Erik ten Hag.

Ronaldo alionekan akitupa mikono na kuonyesha hasira yake kwa De Gea baada ya kufanya Makosa. Baada ya filimbi ya muda wote Ronaldo alishindwa kuwapigia makofi mashabiki waliosafiri na kurushiana maneno yaliyoonekana na kocha Steve McClaren kabla ya kuondoka haraka uwanjani.

Wakala wake wakala Jorge Mendes amefanya mazungumzo na AC Milan na wapinzani wao Inter lakini vilabu vyote viwili vimesita kumsajili supastaa huyo.

Klabu za Atletico Madrid na Sporting Lisbon bado hazijajitoa kwa asilimia 100 kumsajili Ronaldo.

PAMOJA NA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA JUZI…AHMED ALLY AIBUKA NA KUJISIFU WALIVYOJAZA UWANJA ..”TUMEYAONA MACHOZI”… KISA SIMBA…DJIGUI DIARA AWEKWA KANDO YANGA….NABI AFUNGUKA A-Z MAMBO YALIVYO…AMTAJA SAKHO….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply