Habari za michezo

KIPIGO KUTOKA MAN UTD CHAZIDI KUMVURUGA AKILI KLOPP…ADAI ANAONEKANA MJINGA…AFUNGUKA KUPIGWA MASHUTI …

admin August 24, 2022 3:22 am


Baada ya kichapo Cha 2-1 pale Trafford siku ya jana kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amefunguka na kusema kuwa;- “Tulikuwa na idadi kubwa ya mashut.. tungecheza vizuri zaidi, kama tungeshawishika zaidi kuhusu kile tunachofanya tungeshinda mchezo huu. Najua inaonekana ni ujinga, lakini ndivyo ninavyoona”

“Walikuwa wakali sana mwanzoni, ilikuwa wazi kabisa nini kitatokea, ukweli unaonyesha kama tuko tayari, na mwanzo walikuwa wakali kuliko sisi, waligonga nguzo mara kadhaa na ulikuwa mchezo mkali.

“Kisha walifunga bao, na tukachukua nafasi, na kucheza mchezo ambao tulitaka kucheza, zaidi au kidogo.

“Hatukuwa na bahati, tuliwakosa kosa pia, katika mchezo kama huu dhidi ya wapinzani kama United inaweza kusaidia sana ikiwa tungefunga kipindi Cha kwanza na kwenda mapumziko 1-1.

KISA KUFUNGA GOLI JUZI…DEJAN AENDELEA ‘KUPASUKA’ MAPYA SIMBA…AFUNGUKA NAMNA ANAVYOCHEZA NA WENZAKE UWANJANI… ISHU YA KUACHWA MIEZI KADHAA TOKA ASAJILIWE…KAPAMA AIGOMEA SIMBA….AWAPA SHARTI HILI GUMU KULIKO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply