Burudani

BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NA RONALDO..OMMY DIMPOZI ALAMBA HILI SHAVU MAN UTD…AWA MTZ WAKWANZA …

admin August 25, 2022 6:00 pm


Klabu ya Manchester United imempost staa wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz kupitia ukurasa wao wa Instagram.

Kupitia Insta Story yao wamempost staa huyo ambaye siku ya Jumatatu alifanikiwa kupata mualiko wa klabu hiyo kwenye uwanja wa Old Trafford dhidi ya Liverpool walioshinda 2-1

Ommy alipata nafasi ya kupiga picha na mastaa kibao wa timu hiyo, akiwemo Cristiano Ronaldo, David De Gea aliyemkabidhi jezi ya Taifa Stars, Bruno Fernandez na wengine.

YANGA WAMPONZA MWAMUZI LIGI KUU…TFF WAANZA KUMULIKA MACHO KILA USHAHIDI… BAADA YA KUFUNGA GOLI JUZI…MORRISO ‘AANZA KUKERA’ YANGA…ATUPA JIWE LA GIZANI KWA AZAM FC…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply