Habari za michezo

KUTOKA SUDAN: WENYEJI WA SIMBA WAMKUNG’UTA MTU GOLI 5 BILA…ZORAN NA JESHI LAKE KUANZA KAZI KESHO…

admin August 27, 2022 9:52 am


Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki.

Baada ya kipigo hicho Asante Kotoko itavaana na miamba ya Tanzania, Simba SC mnamo Agosti 28, 2022.

Simba SC itacheza mechi yake ya pili ya kirafiki dhidi ya Al Hilal siku ya Agosti 31, 2022.

IKIWA HAJAMALIZA HATA MIEZI MITATU TOKA ASAJILIWE….NABI AANZA KULIA NA UWEZO WA MORRISON…AMPA ‘MAKAVU LIVE’… NI WIKIENDI YA KIBABE YENYE MECHI KALI ZA KUBASHIRI NA MERIDIANBET….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply