Habari za michezo

HUU HAPA UKWELI KUHUSU KIFO CHA DK GEMBE…ALIKUWA TIMU KUBWA YA SIMBA AKASHUSHWA MPAKA TIMU YA WATOTO…

admin September 2, 2022 3:49 pm


Simba SC leo Septemba 02, 2022 wamepata pigo kwa kuondokewa na aliyekuwa daktari wao, Yassin Gembe.

Simba wametoa taarifa ya kifo cha daktari wao kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wakieleza kuwa amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

“Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha aliyekuwa daktari wa timu yetu ya wanaume (Senior Team) ambaye kwasasa alikuwa daktari wa timu ya vijana (Youth Team), Dkt. Yassin Gembe ambacho kimetokea leo mchana kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.”

Simba wamesema taarifa zaidi kuhusu msiba huo watazitoa baadaye.

SIKU CHACHE TOKA ‘ATUMBULIWE’ ….KOCHA MSOMALI AIBUKA NA HILI KUHUSU AZAM…KAFUNGUA A-Z YA NYUMA YA PAZIA… HIVI NDIVYO SVEN ALIVYOIZIDI UJANJA SIMBA KWENYE DILI LA MIQUISSONE…LABDA WAJARIBU MSIMU UJAO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply