Habari za michezo

KUELEKEA MECHI YA KESHO ….SHIDA KWA ONYANGO BADO IKO PALE PALE…JAMBO LAKE NA SIMBA KUMBE BADO SANA…

admin September 6, 2022 6:44 pm


Beki kisiki wa Simba SC, Joash Onyango kesho hatakuwa sehemu ya kikos pindi Wekundu hao watakapovaana na KMC kesho Septemba 7, 2022.

Kwa mujibu wa msemaji wa Simba, Ahmed Ally, Onyango hakufanya mazoezi na timu kwa siku kadhaa hivyo hatoweza kucheza na kwamba kuna masuala yake anamalizana na klabu ndipo hatma yake itangazwe.

“Onyango hajafanya mazoezi na wenzake hivyo hatakuwepo kesho katika mchezo wetu dhidi ya KMC. Kuna mambo anayaweka sawa na yatakapokaa sawa tutawaambia lakini ifahamike tu Onyango ni mali yetu na ana mkataba wa miaka miwili,” alisema Ahmed.

KUHUSU KOCHA ATAKAYERITHI MIKOBA YA MAKI…SIMBA WATOA TAMKO RASMI…WATAJA TAREHE YA KUMTANGAZA… MAMBO SABA YAMTOA ZORAN SIMBA…BOKO, ONYANGO WATAJWA…KISINDA KUITIKISA TFF IJUMAA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply