Habari za michezo

SAA KADHAA TOKA ATEULIWE UKOCHA MKUU SIMBA… COASTAL UNION WAIBUKA NA HILI KUHUSU MGUNDA…

admin September 8, 2022 3:13 pm

Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda.


Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi.

Kutokana na hali hiyo uongozi wa Coastal Union umemtangaza Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Joseph Lazaro kusimamia timu kwa muda.

Taarifa ya Coastal Union hii hapa chini.
KWELI KUJIPENDEKEZA SIO….UNAAMBIWA TUCHEL ALIKATAA OFA ZA MAN UTD NA BARCA KISA CHELSEA…LEO HANA KAZI… KUHUSU MCHEZO WA BOXING…MO DEWJI KAAMUA KUFANYA KWELI AISEE…MABONDIA WAKUBWA DUNIANI KUTIA MGUU TZ…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply