Habari za michezo

WAZAMBIA WAIFANYIA KITU MBAYA TANZANIA ….TWIGA STARS WABANWA MBAVU AFRIKA KUSINI…JESHIMA YAO YAPOTEA …

admin September 11, 2022 3:09 am


Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imevuliwa ubingwa wa COSAFA Wanawake baada ya kuchapwa 2-1 na Zambia jana Uwanja wa Isaac Wolfson mjini Port Elizabeth, Afrika Kusini.

Mabao ya Zambia yamefungwa na Barbara Banda dakika ya 11 na Chisha Misozi dakika ya 46, wakati la Twiga Stars alijifunga Margaret Balemu dakika ya 30.

Kwa sasa Twiga Stars itawania nafasi ya tatu katika michuano hiyo.

ONYANGO ARUDISHWA SIMBA…KISINDA AKWAMA YANGA…MAYELE FEI TOTO WAFANYA BALAA KWA MKAPA… KISA KUKOSEKANA KWA DIARA YANGA…MSHERY AWEKA REKODI HII YA KIBABBE CAF…MAMBO YAANZA KUWA MAZURI KWAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply