CAF

JAMA JAMA..HAWA WAANGOLA WAMEPANIA AISEE…’CHEKI’ MPUNGA WATAKAO PEWA WACHEZAJI WAO WAKISHINDA KESHO..

admin October 15, 2022 5:34 pm

Wakati Kikosi cha Primeiro De Agosto kikitarajiwa kushuka uwanjani kesho  kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC, Uongozi wa klabu hiyo ya Angola umewaahidi ‘DONGE NONO’ Wachezaji wao endapo watapindua meza na kutinga Hatua ya Makundi.

Taarifa kutoka Angola zinadai kuwa, kila mchezaji amehaidiwa zaidi ya milioni kumi ili kuhakikisha wanaifunga Simba na Kufuzu hatua ijayo ya makundi.

Primeiro De Agosto itacheza mchezo wa Mkondo wa Pili Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza nyumbani kwa mabao 3-1 mwishoni mwa juma lililopita (Jumapili-Oktoba 09).

KUELEKEA MECHI YA KESHO….MGUNDA ADUKUA MAJINA YA WAANGOLA WATATU…NI VIFAA TUPU… HAO AZAM FC NAO WANABALAA NYIE….MIPANGO YAO YA KUPINDUA MEZA IMEAKAA KIJASUSI ZAIDI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply