CAF

MASHABIKI SUDAN WAIPANIA KINOMA YANGA….WANUNUA TIKETI KWA ‘UGWADU’….

admin October 15, 2022 3:08 am

Mashabiki wa soka Sudan wameendelea kununua tiketi kwa wingi jana Oktoba 14, kwa ajili ya kuishuhudia Al Hilal ikicheza dhidi ya Yanga Jumapili Oktoba 16 katika uwanja wa Al Hilal Omdurman.

Mchezo huo wa Al Hilal dhidi ya Yanga ni wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya wikiendi iliyopita katika Uwanja wa Mkapa kutoka sare ya goli 1-1 mchezo wa mkondo wa kwanza.

YANGA WAIFUATA AL HILAL KIBABE….WAIGA MBINU ZA SIMBA KUCHEZA ‘AWAY’….INJINIA HERSI ASHTUKIA JAMBO…. SIRI YA MGUNDA NA MASTAA SIMBA IKO HIVI…WAANGOLA WAPIGIWA TIZI LA KIKATILI DAR…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply