Habari za michezo

BAADA YA KUPIGWA NA WAARABU WEUSI…CAF WAIPA YANGA WAARABU WEUPE….WAKISHINDWA NA HAPO WATABAKI ‘KUCHAMBUA MCHELE’…

admin October 18, 2022 12:58 pm

Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga hatimaye wameshusha pumzi baada ya kujua wanacheza na nani hatua ya mtoano kufuzu kwa makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga inakutana na Club Africain kutoka Tunisia ambao wametinga hatua hiyo baada ya kuvurumisha timu ya Kipanga FC ya Zanzibar mabao 7-0.

Yanga inaanzia nyumbani mchezo ambao utapigwa Novemba 2 huku ule wa marudiano utapigwa Novemba 9 nchini Tunisia.

PAMOJA NA KUPIGWA JUZI….YANGA WALAMBA MKATABA NA UMOJA WA MATAIFA… KISA KUFUZU MAKUNDI LIGI MABINGWA….KIGOGO SIMBA AFUNGUKA ‘WANAVYOCHEKEA KOONI’…ATAJA MIPANGO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply