Habari za michezo

SAMATTA AZIDI KUVURUGA REKODI ZA WAZUNGU UBELIGIJI…KAWEKA REKODI HII TENA…

admin October 25, 2022 6:53 pm

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amefikisha mechi 200 akiwa na jezi ya klabu ya KRC Genk ya Ubeligiji, katika mechi hizo amefunga mabao 77 na kutoa asisti 21.

Samatta alijiunga na Genk kwa mara ya kwanza January 29, 2016 akitokea TP Mazembe ya Congo ambapo alitumikia klabu hiyo mpaka 2020 na kutimkia Aston Villa ya England.

Baadae September 20, 2020 alijiunga na Fenebahçe ya Uturuki, August 31, 2021 akajiunga na Royal Antwerp ya Ubeligiji na August 16, 2022 amerejea tena KRC Genk.

KOCHA SIMBA QUEEN’S AAPA KUFANYA KWELI LIGI YA MABINGWA AFRIKA WANAWAKE … KOCHA SIMBA APANGA KUMTIBULIA ZAIDI NABI NDANI YA YANGA…AAPA ‘KUMKUSANYA KAMA ZEGE’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply