KMC vs Yanga
Habari za michezo

FT: YANGA 1-0 KMC FC ….FEI TOTO AMUOKOA NABI DK ZA MCHANA…MAYELE AKOSA REKODI MPYA…

admin October 26, 2022 9:12 pm

KLABU ya Yanga imeendeleza na rekodi yake ya kutokufungwa katika mechi ya 44 mara baada ya leo kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC Fc.

Yanga Sc imeingia uwanjani huku ikiwapumzisha wachezaji wake kadhaa akiwemo Mayele ambaye hakuwepo hata benchi, Feisal Salum ambaye aliingia na kufunga bao dakika ya 80 na kuisaidia timu yake kuondoka na ushindi, Moloko ambaye aliingia kipindi cha pili pamoja na Aucho ambaye nae hakuwepo hata benchi.

Katika kipindi cha kwanza timu zote hazionesha zilishambuliana japo mpira ulikuwa unachezwa katikati ya uwanja.

M-BET WAFANYA KWELI KWA SIMBA QUEEN’S…WATOA MKATABA MNONO KUPITA YOTE… WAKATI AKIZINGUA MAN UTD….RONALDO AKAMILISHA UJENZI WA HOTEL LA KIFARAHI MOROCCO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply