Habari za michezo

WAKATI SIMBA WAKITAMBA KWA UBORA…YANGA WAIFUNIKA KWA JEZI BORA AFRIKA NZIMA…

admin October 29, 2022 6:31 pm

Jezi ya nyumbani ya @yangasc imetajwa kama moja kati ya jezi bora za vilabu vya mpira barani Afrika ikiwa inashika nafasi pili nyuma ya jezi ya Zamalek SC @zscofficial ya nchini Misri.

Jezi hiyo ya Yanga imetajwa kama moja ya jezi zilizotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu pamoja na ubunifu wa kipekee ambao ulifanywa na @sheriangowi .

Jezi ya Simba ‘third kit’ nayo haijabaki nyuma kwani imetajwa kama jezi namba 9 kwa ubora barani Afrika.

Taarifa hizi zimetolewa na ukurasa maarufu wa michezo barani Afrika unaojulikana kama @africasoccerzone .

Je, ni ipi jezi bora zaidi kwako katika hizo 10 zilizoorodheshwa na mtandao huo? tuandikie kwenye comments hapo chini.

EXCLUSIVE: KAGERE AANIKA A-Z ALIVYOFANYIWA NA SVEN NA KILICHOMTOKEA MPAKA SIMBA WAKAMUACHA… FT: GEITA GOLD 0-1 YANGA SC….MORRISON AFUFUKIA MWANZA…MAKAMBO KIMEO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply