Habari za Simba leo
Habari za michezo

FT: SIMBA SC 5 – 0 MTIBWA SUGAR ….SAKHO AIBUKA NA STAILI MPYA…AKPAN AKUMBUKWA…

admin October 30, 2022 9:15 pm

KLABU ya Simba imeamua kuifanyia ukatili Mtibwa Sugar baada ya kuinyeshea mvua ya magoli 5-0 na kuondoka na ushindi huo muhimu wa ligi kuu Tanzania bara.

Kipindi cha kwanza Simba Sc ilifanikiwa kupata bao kupitia kwa Mzamiru na kuwapeleka mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 huku Mtibwa akiwa nusu baada ya mchezaji wake Kitenge kupewa kandi nyekundu.

Kipindi cha pili Simba iliendelea kutoa dozi ya nguvu kwenye mchezo glhuo baada ya kuongeza mabao mengine na kufikia 5-0 huku Mtibwa tena akipewa kadi nyekundu mchezaji wake Cassian baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano.

Mabao ya Simba Sc mengine yamefungwa na Okra, Moses Phiri,Sakho ambaye amepachika mabao mawili kwenye mchezo huo

MERIDIANBET SOKA BONANZA YAWA NURU KWA VIPAJI VYA VIJANA KIWALANI.. A-Z JINSI SIMBA WALIVYOIFANYIA ‘UMAFIA’ MTIBWA SUGAR JANA…MWAMUZI AHUSIKA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply