Habari za michezo

MEXIME AANZA NA GUU LA USHINDI KAGERA SUGAR…KMC ‘WADONDOKEWA NA MENDE’…

admin November 1, 2022 9:16 pm

Bao pekee la Anuary Jabir dakika ya 76 limetosha kuipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Kwa ushindi huo, Kagera Sugar inafikisha pointi 11 na kusogea nafasi ya 11, wakati KMC inabaki na pointi zake 13 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 10.

Kagera Sugar kwa sasa ipo chini ya Kocha mpya Mecky Mexime baada ya kuachana na Francis Baraza.

AHMED ALLY : YANGA WATATOLEWA TU…WANATAKIWA KUWA NA CHAMA ILI WASHINDE KESHO… MATAA YANGA WAAPA ‘KULALA’ NA WATUNISIA LEO…WATENGEWEA NUSU BILIONI KUMALIZA KAZI DAR…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply