Habari za michezo

SINGIDA BIG STARS WAPANIA KUFUMUA ‘MSHONO’ SIMBA NA YANGA…KILIO KIKUBWA CHNUKIA…

admin November 4, 2022 4:41 pm

Singida Big Stars (SBS) imeanza kujipanga kupata matokeo mazuri katika michezo mitano ijayo ya Ligi Kuu mwezi huu ikiwemo ile inayozikutanisha na Simba na Yanga.

Msemaji wa timu hiyo, Hussein Massanza alisema wamejipanga kupata matokeo ambapo kwa sasa wameweka kambi jijini Arusha.

SBS katika msimamo inashika nafasi ya sita ikiwa na pointi 14 katika michezo minane ambayo imecheza. Michezo ijayo itakuwa ni dhidi ya Polisi Tanzania, Novemba 6, Simba, Yanga, KMC na Ruvu Shooting.

‘PEPO’ LILOKUWA LIKISUMBUA AZAM LATULIA…KALLY ONGALA AFUNGUKA A-Z KILICHOKUWA KIKIWATAFUNA… INJINIA HERSI: MASHABIKI YANGA WANATUKOSEA SANA…WANATUVUNJA MOYO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply