Habari za Yanga
Habari za michezo

KAMWE: TUMEPOKELEWA NA WAPINZANI WAO…WAMETUAMBIA HAWATISHI SANA TUSIWE NA WASIWASI…

admin November 8, 2022 8:03 pm

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kikosi chao kilipokelewa vizuri nchini Tunisia ambapo sasa kinajiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Club Africain kwa ajili ya kusaka tiketi ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

“Tangu tumefika hapa tumepata ushirikiano mkubwa kutoka kwa klabu ya Etoile du Sahel (wapinzani wa Club Africain) ambao wametuambia kuwa Club Africain sio wa kutisha kwa sasa kwa kuwa pia wana BAN (Wamefungiwa) na FIFA.

“Mpaka sasa hakuna changamoto yoyote, hali ya hewa huku ni baridi ndio maana tuliondoka mapema ili kuizoea hali ya hewa,” alisema Ally Kamwe.

MGUNDA AMPA ‘MAKAVU LIVE’ PHIRI KUHUSU UBINAFSI….AMTAKA AACHE KUJIFIKIRIA YEYE TU… IMEFICHUKA….HIZI HAPA SABABU NYUMA YA PAZIA WAAMUZI HAWA KUPANGIWA MECHI ZA SIMBA NA YANGA TU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply