Habari za michezo
USHINDI WA YANGA ..NCHI NZIMA INASHEREKEA…MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA …
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji “Mo dewji” ameipongeza Klabu ya Yanga kufuatia kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Yanga imefuzu hatua ya Makundi baada ya kuichapa Club Africain kutoka Tunisia kwa bao 1-0 lililopachikwa na Aziz Ki kipindi cha pili.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mo ameandika;

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.