Habari za michezo

KUELEKEA QATAR: SENEGAL KUTUMIA WAGANGA WA KIENYEJI KUMTIBU SADIO MANE..

admin November 12, 2022 6:19 am

Katibu Mkuu wa FIFA Msenegal Fatma Samoura, amesema kuwa Senegal itatumia Waganga wa kienyeji ili kuhakikisha Sadio Mané (30) anashiriki katika fainali za Kombe la Dunia 2022.

Mané alipata jeraha la tendon wakati wa mchezo wa Bayern Munich dhidi ya Werder Bremen mapema wiki hii ambalo litamuweka nje ya uwanja kwa mwezi mmoja.

Hata hivyo iliripotiwa kuwa Mané anaweza kushiriki Kombe la Dunia huku ikielezwa kuwa kocha wa Senegal Aliou Cissé anatarajia kumjumuisha katika kikosi chake atakachokitangaza siku ya Ijumaa.

“Tutatumia waganga,” amesema Somoura

Alipoulizwa juu ya ufanisi wa waganga alijibu:-

“Sijui (kama zinafaa) lakini katika hali hii, tutazitumia hivyo hivyo. Tunatumaini miujiza. Lazima awepo Qatar

BAADA YA KUWAONA MOTO WA YANGA JUZI…AHMED ALLY KAGUNA KISHA AKASEMA SIMBA HAIFUNGWI NG’OO… BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA…WAARABU WASHIKANA UCHAWI…SIMBA WAPATA DAWA MPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply