Azam FC

TETESI:BAKHRESA KUPELEKA MAUMIVU YANGA….FEI TOTO NI SUALA LA MUDA TU KUTUA AZAM FC..

admin November 14, 2022 6:49 pm

Ikiwa imesalia takribani miezi miwili dirisha Dogo la usajili la mwezi Januari kufunguliwa, inasemekana Bosi wa Azam FC, Yusuf Bakhresa ameanza kufanya michakato ya kuboresha kikosi cha Azam na rada yake imetua kwa Nyota wa Yanga SC, Feisal Salum (Fei Toto).

Inasemekana Fei Toto na Bakhresa wapo mezani kujadili matakwa ya mchezaji huyo na endapo wataafikiana basi kiungo huyo aliyejizolea umaarufu mkubwa nchini akiwa na kikosi cha Yanga huenda akamwaga wino kuwatumikia matajiri wa Jiji la Dar es Salaam.

Fei Toto ana Mkataba na mabingwa hao watetezi hadi mwaka 2024 na inasemeka kuwa kuvunja mkataba wake anahitajika kuwalipa Yanga Tsh. milioni 100 na mshahara wake wa miezi mitatu.

MATOLA AKIRI KUSEPA SIMBA…JUMA KASEJA KURUDI KUNDINI…KOCHA WA VIUNGO HUYU HAPA… KUELEKEA DIRISHA DOGO…KISINDA ‘OUT’ MBRAZILI WA SINGIDA ‘IN’…ISHU NZIMA IKO HIVI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply