Habari za michezo

BREAKING NEWS:…BARBARA AJIUZULU SIMBA…AWAACHIA MSALA HUU WAJUMBE WA BODI…

admin December 10, 2022 7:14 pm

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, mwanamama Barbara Gonzalez ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake ndani ya klabu hiyo.

Barbara ameandika barua ya kujiuzulu akibainisha sababu kuu mbili, ambapo amedai anatoa nafasi kwa Bodi mpya ya Wakurugenzi kuchagua Mtendaji Mkuu mpya atakwenda sambamba na malengo yao, pili anajipa muda wa kutimiza ndoto nyingine.

Soma kwa kirefu barua ya Barbara hapa chini;

BAADA YA KUSIKIA NAMUNGO WANAMTAKA…SIMBA WAMPANDISHA DARAJA MATOLA… MAPYA YA UIBUKA KUJIUZULU KWA BARBARA…MO DEWJI YUPO NJIANI KUMFUATA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply