Habari za michezo

KUELEKEA MECHI YA FAINAL KESHO…MBAPPE AOMBA MSAADA WA AFRIKA KUISHINDA ARGENTINA…

admin December 17, 2022 11:49 am

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika.

“Nategemea kuona sisi tutakuwa na mashabiki wengi zaidi kutoka barani Africa, tofauti na Argentina ambao wao mashabiki wao ni wale wa Messi,Sisi mashabiki wetu ni watu wote duniani na Africa ambao ni kwa asilimia 80% ni ndugu zetu “Kylian Mbappe.

YANGA PRINCESS WAMFUTA MAYELE KUWAPA UJANJA WA KUITUNGUA SIMBA QUEENS.. MWAKINYO: WAZANZIBAR HAWATUTAKI…HUU MUUNGANO UNAUNGANISHA NINI..?

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply