Habari za Simba SC
Habari za michezo

MO DEWJI ATINGA NA ‘KIPENSI’ KAMBI YA SIMBA SC DUBAI…ALICHOSEMA HIKI HAPA…

admin January 10, 2023 5:39 pm

Rais wa heshima wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji leo Jumanne (Januari 10) ametembelea kambi ya kikosi cha Klabu hiyo mjini Dubai-Falme za Kiarabu.

Kikosi cha Simba SC kimeweka Kambi mjini humo kwa ajili ya kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika sambamba na Michezo ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’.

Akiwa kambini Tajiri huyo alipata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali ya klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba SC inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC

HESABU ZA YANGA KUHUSU KIFAA CHA MAZEMBE ZIKO HIZI AISEE…ALLY KAMWE APIGILIA MSUMARI.. PAMOJA NA KUAMRIWA KURUDI YANGA…FEI TOTO AIGOMEA TFF…WAKILI WAKE KAANIKA A-Z….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply