Habari za Yanga
News

BAADA YA KUWA NNJE MUDA MREFU…MORRISON ALIANZISHA UPYA YANGA…

admin March 7, 2023 1:50 pm

Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Bernard Morrison ameanza mazoezi na wenzake mara baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamkabili.

Licha ya kupona majeraha yake ila kuna uwezekano Mkubwa wa Nyota huyo kuwakosa Real Bamako ambapo watacheza dhidi ya Yanga Machi 8,2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Morisson alikuwa nje ya kikosi kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja yakiyokuwa yanamkabili.

Katika kipindi ambacho Morisson alikuwa nje alikosa michezo dhi ya US Monastir (A), TP Mazembe (H), KMC(A) na AS Real Bamako (A)

KABLA YA MECHI HAIJACHEZWA…MAPEMA TU…KAPOMBE ATANGULIZA SIMBA MBELE YA VIPERS… KUELEKEA MECHI NA VIPERS…KIEMBA IBUA ISHU YA OKRAH…AIPA TAHADHARI SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply