Habari za Simba
Habari za Simba

PAMOJA NA USHINDI WA SIMBA JANA…EDO KUMWEMBE ‘AMNYEA’ MBRAZILI…ADAI TIMU INABUTUA BUTUA TU…

admin March 8, 2023 5:40 pm

Wakati Simba ikiibuka na ushindi wa pili mfululizo michezo ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, bado kuna watu hawaoni timu hiyo ikifanya yale ambayo imekuwa ikiyafanya katika michezo yake ya michuano iliyopita.

Wachambuzi wengi na mashabiki wanasema Simba inashinda lakini haichezi mpira mzuri, wa mipango kama ilivyokuwa hapo awali.

Miongoni mwa wachambuzi waliotoa mitazamo yao ni Edo Kumwembe ambae yeye amekwenda mbali na kudai kuwa pengine Timu imemshinda.

Akizungumza Edo anasema;

“Kila siku namsikia Robertinho akiomba kupewa mda lakini hivi sasa ni Mwezi wa tatu akiwa Simba ila hatuoni mabadiliko yoyote aliyoyafanya katika eneo lolote lile.Hata ukiangalia Ushindi wa jana ulipatikana kwa sababu ya morali ya wachezaji tu na sio ubora wake”

BEKI SIMBA QUEENS AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MAYELE…AANIKA KILA KITU A-Z… JOB: KWA SIMBA HII…MWISHO WAO NI KWA HOROYA…HAWOTOBOI MAKUNDI HAWA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply