Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye kikosi Cha Azam na anayetazamiwa kuwa rashford wa Azam.







