yanga
MAMAAAA YANGA! YANGA! YANGA!…HIZI HAPA JEZI MPYA ZA YANGA
Club ya Yanga imetambulisha jezi mpya watakazotumia katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Jezi hizo tatu zimebuniwa na Sheria Ngowi na zitapatikana Yanga Makao Makuu kwa Tsh 50,000, Ngowi amesema bluu ya nyumbani, kijani ugenini na njano third kit.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.