Michezo
SILAHA ZA TAIFA STARS SAFARINI…WAIFATA TIMU NCHINI MISRI
Marce Ben Komba
March 20, 2023
2:26 pm
Wachezaji wa Tanzania wanaocheza Ubelgiji, kutoka kulia Mbwana Samatta (KRC Genk), Novatos Dismass (Zulte Weregem) na Kelvin John (KRC Genk)
wameanza safari kwenda nchini Misri kwenda kujiunga na timu yao ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda Ijumaa Jijini Cairo nchini Misri.
Taifa Stars inapambana kuhakikisha inakusanya alama tatu katika mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa hatua inayofuata.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.