TFF Yaweka Wazi Ratiba ya Taifa Stars, Serengeti Boys na Timu za Taifa 2026
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka wazi ratiba pamoja na mipango mizito ya timu mbalimbali za taifa zinazokabiliwa na michezo ya kimataifa, ikiwa ni pamoja…
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka wazi ratiba pamoja na mipango mizito ya timu mbalimbali za taifa zinazokabiliwa na michezo ya kimataifa, ikiwa ni pamoja…
KUNATAKIWA uwepo wa jezi mpya za Taifa Stars kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) zitakazofanyika hapa nchini, na uzinduzi…
MSHAMBULIAJI kijana na nyota wa kimataifa wa Tanzania, Cyprian Kachwele, ametambulishwa rasmi na klabu ya Kryvbas Kryvyi Rih inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ukraine. Kachwele (21)…
Mshambuliaji wa Simba Kibu Denis ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa kusitisha safari yake ya kwenda Marekani kwaajili ya mapumziko ya mwisho wa msimu, hii ni…
Zimebaki siku chache sana kabla ya kuanza kwa fainali za mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika huko Ivory Coast, mwakani kuanzia Januari 13 hadi Februari…
Muda wowote kuanzia sasa magari ya maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yatakuwa yanapishana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa…
Morocco moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika nafasi ya 121.…
Matuamini ya mashabiki wa Tanzania ni kuona kwamba wachezaji wanapata matokeo mazuri. Ipo hivyo hata wapambanaji wenyewe wanapoingia kwenye mapambano malengo ni kushinda. Mwisho matokeo…
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, leo wanakibarua kigumu za kuchanga vema karata zake katika mchezo wa pili wa kufuzu kombe la…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kununua tiketi zote za viti vya mzunguko kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ili…