Michezo
KUMBE HII NDIO SIRI YA MASHABIKI WA YANGA…KUSHANGILIA KWENDA ROBO
Marce Ben Komba
March 21, 2023
11:22 pm
Wakati Yanga wakiitandika US Monastir ya Tunisia Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa mabao 2-0.
Ushindi huo ulikuwa na maana kuwa Yanga wanafuzu kwa hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kipindi kirefu kupita
Mara ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize Straika wa sasa wa Yanga alikuwa hajazaliwa.
Kelvin John anaetamba na Genk ya Ubelgiji alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata juzi.
Waacheni Wananchi washangilie.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.