MOHAMED HUSSEIN NA KIBU...WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA
Michezo

MOHAMED HUSSEIN NA KIBU…WAPIGWA CHINI MECHI NA RAJA CASABLANCA

Marce Ben Komba March 22, 2023 2:57 pm

Mlinzi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Zimbwe’ na Kibu Denis watakosa mechi ya mwisho ya Simba ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ugenini.

Hatua hiyo imekuja baada ya kutimiza kadi ya pili ya njano kwa kila mmoja kwenye mechi ya Jumamosi waliyoibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya.

Simba itakamilisha michezo ya hatua ya Makundi dhidi ya Raja Casablanca mchezo utakaopigwa Morocco.

TAIFA STARS KUPAMBANA KUFA KUPONA…WAAPA KUWAUA UGANDA HAKUNA WA KUMGUSA CHAMA LIGI YA MABINGWA…TAKWIMU ZAKE ZINATISHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply